Proverbs 31:10

Maneno Ya Mwisho: Mke Mwenye Sifa Nzuri

10 aMke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata?
Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani.

Mithali 31:10-31 imetungwa kila mstari ukianzia na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.

Copyright information for SwhNEN